Popular services

TWALIB HAJI ABAS:AOMBA RIDHAA YA KUCHAGULIWA KUWA DIWANI WADI YA TAZAR ILI KUENDELEZA MAENDELEO ZAIDI.

 Na,Nishan khamis. 

Mgombea udiwani wadi ya Tazari jimbo la Nungwi Twalib Haji Abas ametoa shukran za dhati kwa chama na wanaccm kwa kumrejesha tena kugomea nafasi hiyo .


Twalib ameyasema hayo hapo jana katika ufunguzi wa kampeni jimbo la Nungwi uliofanyika uwnaja wa mpira Fukuchani hivyo aliwaomba wananchi kuwapigia kura za ndio viongozi wote wa CCM nchini ili kuendeleza maendeleo katika wadi,jimbo na taifa kwa ujumla.