JIMBO LA MKWAJUNI.
UBUNGE MATOKEO.
Jumla ya kura 1239
Kura halali 1221
Kura zilizo haribika 18
1.Dkt.Haji Juma Musa kura 241
2.sheha Makame musa 114
3.khamis Ali Vuai 507
4.Machano Fadhili Machano 313
5..Ali Khamis makame 48.
UWAKILISHI MATOKEO.
Jumla ya kura 1241,kula halali1229 na zilizoharibika 12.
1.khamis Kombo Ali kura 307
2.Sulubu Kidongo Amour 459
3.Sheha Hamiduni Mjomba 180
4.Mohamed Juma sheha 79
5.Bakar Mussa Vuai 213.
UDIWANI WADI YA KIDOMBO.
Jumla ya kura zilizopigwa 855,kura halali 842 zilizo haribika 13.
1.khalid Pandu Ali 113
2.Makame Machano Fum 418
3.Asha Haruna Juma 43
4.Jabu Hamdu Makame 268
WADI YA GAMBA MATOKEO
Jumla za kura 449,kura halali 446 na zilizo haribika 3
1.mwajuma Haji Kasim 151
2.Khamis Kombo Ame 68
3.Nyange Kher Ali 227
JIMBO LA TUMBATU.
TUMBATU
Udiwani
1. Mngwali M. Haji 87
2. Ame H. Ameir 156
3. Pandu S. Sungura 399
Uwakilishi 1147 halali 1136 haribika 11
1. Mtumweni A. Saleh 470
2. Mahmoud O. Hamad 667
Ubunge 1155 halali 1137 haribika 18
1. Sheha M. Almas 165
2. Dr Amir M. Amir 133
3. Haji Kh. Haji 37
4. Mh. Juma O. Hija 467
5. Maryam A. Nasib 337
