Popular services

RONJA KIMARA ACHUKUA FOMU YA AWAKILISHI JIMBO LA KIJINI 2025.

 Kijini, Unguja — Juni 30, 2025

Kijana Kasimu Haji Sheha kimara, , ameonesha nia rasmi ya kulitumikia taifa kwa kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Mwakilishi wa Jimbo la Kijini wilaya ya Kaskazini A Unguja kupitia chama chake.