Home/
Unlabelled
/BHAGWANJI ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA KIJINI.
BHAGWANJI ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA KIJINI.
BHAGWANJI M. MESURIA AJITOSA UBUNGE JIMBO LA KIJINI
Mfanyabiashara na mwana jamii anayejulikana Bhagwanji M. Mesuria, amechukua rasmi fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Kijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
BHAGWANJI ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA KIJINI.
Reviewed by SAUTI YETU
on
June 29, 2025
Rating: 5