Popular services

KHAMIS ADAMU MLEKWA ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA MKWAJUNI.


Kijana Khamis Adamu leo amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Mkwajuni wilaya ya kaskazini A Unguja katika mwaka wa uchaguzi 2025.