Popular services

HAJI ABEID AKABIDHIWA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA MKWAJUNI KUPITIA CHAUMMA.

Na,Nishan khamis-Mkwajuni. 

26,jumanne 2025.
Mgombea wa Ubunge jimbo la mkwajuni Haji Abeid Haji kupitia chama cha CHAUMMA  leo amekabidhiwa fomu ya kugombea jimbo hilo na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi INEC katika ofisi za wilaya ya kaskazini A Unguja iliyopo Gamba.