Popular services

*YOUNG AFRICAN KUREJEA NEW AMANI STADIUM DHIDI YA SINGIDA BLACK STARS*

 Kikosi Cha Wananchi Young African SC kinatarajia kurejea tena Kisiwani Unguja kucheza mchezo wake wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Singida Black Stars 

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Oktoba 30, 2024 katika Uwanja wa New Amaan Stadium 


Yanga watakuwa weageni wa mchezo huo kwani Singida watautumia Uwanja huo kuwa ndio Uwanja wao wa Nyumbani kwa mchezo huo.


WANANCHI WA ZANZIBAR FURAHANI TENA.