Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Tamisemi, Mohamed Mchengerwa amesema katika uchanguzi wa serikali za mitaa uliofanyila Novemba 27,2024 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza kwa aslimia 99.01 lea kupata nafasi za 12271 za nafasi za mwenyekiti wa kijiji akifuatiwa na CHADEMA nafasi 97 sawa na aslimia 0.79, AC WAZALENDO nafasi 11 sawa na aslimia 0.09 CUF nafasi 10 sawa asilimia 0.08,NCCR Mageuzi nafasi 1 sawa asilimia 0.01,UMD nafasi nafasi 1 sawa asilimia 0.01 na ADC nfasi 1 sawa na asilimia 0.01.
Mhe, Mchengerwa ameyasema hayo leo November 27,2024 wakati akitoa matokea ha jumla ya uchaguzi huo.
