MATOKEO YA UCHAGUZI WA UBUNGE NA UWAKILISHI UWT – MKOA WA KASKAZINI UNGUJA
Na,Nishan khamis kaskazini Unguja.
Chama cha Wanawake wa Tanzania (UWT) mkoa wa Kaskazini Unguja kimeendesha uchaguzi wa kuwapata wawakilishi wake kwa nafasi za Ubunge na Uwakilishi, ambapo jumla ya wagombea sita walishiriki katika kila kundi.
Nafasi ya Ubunge:
Wagombea: 6
Jumla ya kura zilizopigwa: 1,279
Kura halali: 1,272
Kura zilizoharibika: 7
Matokeo ya Ubunge ni kama ifuatavyo:
Shadya Haji Omar Kher – kura 923
Tamima Haji Abas – kura 581
Sada kura 563
Sheha – kura 296
Pili Bakar – kura 150
Aziza [ kura 30
Nafasi ya Uwakilishi:
Wagombea: 6
Jumla ya kura zilizopigwa: 1,257
Kura halali: 1,254
Kura zilizoharibika: 3
Matokeo ya Uwakilishi ni kama ifuatavyo:
Riziki Pemba Juma – kura 904
wajuma Kasim – kura 753
Khadija Salmin – kura 303
Fatma Hamza – kura 276
Mtumwa Ameir – kura 233
Ummu Kulthum – kura 36
Uchaguzi huu umefanyika kwa amani na utulivu, huku ukizingatia kanuni na sheria zinazosimamia uchaguzi ndani ya chama.
