Mstahiki Meya baraza la Manispaa wilaya ya kaskazini A Unguja Machano Fadhil Machano maarufu kama Babla ameteuliwa na wenzake wanne jumla watano katika hatua ya kura za wajumbe kumpata mmoja atakaye iwakilisha chama cha mapinduzi wilaya ya kaskazini A Unguja jimbo la mkwajuni kuwania nafasi ya umbunge jimbo hilo.
BABLA NA WENZAKE USO KWA USO NA WAJUMBE JIMBO LA MKWAJUNI UBUNGE.
BABLA NA WENZAKE USO KWA USO NA WAJUMBE JIMBO LA MKWAJUNI UBUNGE.
Reviewed by SAUTI YETU
on
July 29, 2025
Rating: 5
Reviewed by SAUTI YETU
on
July 29, 2025
Rating: 5
Hand-Picked/Weekly News
Travel
